RAIS MAGUFULI AHUTUBIA KILELE CHA MAADHIMISHO SIKU YA SHERIA NCHINI NA MIAKA 100 YA MAHAKAMA KUU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday 1 February 2021

RAIS MAGUFULI AHUTUBIA KILELE CHA MAADHIMISHO SIKU YA SHERIA NCHINI NA MIAKA 100 YA MAHAKAMA KUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi mbalimbali, Wafanyakazi wa Mahakama, Majaji pamoja na wananchi wa mkoa wa Dodoma katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo tarehe 1 Februari 2021.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma akizungumza cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo tarehe 1 Februari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati wa hotuba zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi mbalimbali katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo tarehe 1 Februari 2021. PICHA NA IKULU.

Baadhi ya Majaji wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akisoma hotuba yake katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali mkoani Dodoma leo tarehe 1 Februari 2021.

No comments:

Post a Comment