![]() |
Taaswira ya Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na Nje ya nchi kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam ambacho leo tarehe 24 Februari 2021 kimefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. Kituo hiki kitakuwa na uwezo wa kuhudumia Mabasi 3,456 kwa siku, abiria 224,000 kwa siku, uwezo wa kuegesha magari madogo zaidi ya 280, Mabasi 1000 wakati wa usiku, Ofisi za Mabenki, Hoteli, Ofisi za Uhamiaji, Maduka pamoja na Ofisi mbalimbali- PICHA NA IKULU.
![]() |
Taaswira ya Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na Nje ya nchi kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam ambacho leo tarehe 24 Februari 2021 kimefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.

Taaswira ya Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na Nje ya nchi kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam ambacho leo tarehe 24 Februari 2021 kimefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. Kituo hiki kitakuwa na uwezo wa kuhudumia Mabasi 3,456 kwa siku, abiria 224,000 kwa siku, uwezo wa kuegesha magari madogo zaidi ya 280, Mabasi 1000 wakati wa usiku, Ofisi za Mabenki, Hoteli, Ofisi za Uhamiaji, Maduka pamoja na Ofisi mbalimbali- PICHA NA IKULU

No comments:
Post a Comment