Viongozi mbalimbali na waombolezaji wakipokea mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Mhandisi John William Kijazi mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Kwamkole-Korogwe. |
Viongozi wa Serikali, Dini na waombolezaji wakiupokea mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Mhandisi John Wiliam Kijazi mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Kwamkole Korogwe.Z |
Gari lililo beba mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Mhandisi John Wiliam Kijazi likiwasili nyumbani kwake Kwamkole Korogwe. |
Viongozi mbalimbali pamoja na waombolezaji wengine wakiupokea mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Mhandisi John William Kijazi mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Kwamkole-Korogwe. |
Viongozi mbalimbali na waombolezaji wakipokea mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, Mhandisi John William Kijazi mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Kwamkole-Korogwe. |
No comments:
Post a Comment