KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI ARCH. MWAKALINGA AKAGUA DARAJA LA SANGATINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 25 February 2021

KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI ARCH. MWAKALINGA AKAGUA DARAJA LA SANGATINI

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akikagua Daraja la Sangatini linalounganisha Wilaya za Kigamboni mkoani Dar es Salaam na Mkuranga Mkoa wa Pwani, Wengine ni wataalam toka Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara nchini (TANROADS).

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akisisitiza jambo kwa wataalam wa Wizara namna ya kuliboresha Daraja la Sangatini na barabara unganishi.

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akisisitiza jambo kwa wataalam wa Wizara namna ya kuliboresha Daraja la Sangatini na barabara unganishi.

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Barabara nchini, Eng. Rogatus Mativilla (wa pili kushoto) namna ya kuliboresha Daraja la Sangatini na barabara unganishi.

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akikagua kingo za Daraja la Sangatini linalounganisha Wilaya za Kigamboni mkoani Dar es Salaam na  Mkuranga Mkoa wa Pwani, Wengine ni wataalam toka Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara nchini (TANROADS).

No comments:

Post a Comment