TIGO YAKABIDHI ZAWADI ZA SIMU NA LUNINGA KWA WASHINDI MBALIMBALI WA #JAZATUKUJAZETENA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 1 January 2021

TIGO YAKABIDHI ZAWADI ZA SIMU NA LUNINGA KWA WASHINDI MBALIMBALI WA #JAZATUKUJAZETENA


Mmoja wa washindi wa  Simu wa kampeni ya Jaza Tukujaze 
Endelea kujaza muda wa maongezi na tukujaze tena. Ni Bonus za Dakika! Bonus za MB’s! Bonus za SMS! Na Zaidi ushinde Smartphone kali kama aliyojishinda Bwn. Frank Piga *147*00# na ujaze tukujaze tena.


Mama Kashinda! Hongera  wewe ni mmoja wa washindi wa Itel T20 wiki hii @jotiofficial Bado wengine Wengi..
Nunua kifurushi chochote na Tigo itakupa Bonus za Dakika, SMS na Mb’s na kubwa zaidi utajiwekea nafasi ya kushinda smartphone kila siku. #ItelT20 #TecnoKitochi4G kumi kila siku na #SamsungNote20 Tatu kila wiki.

Baba Kashinda! Hongera  wewe ni mmoja wa washindi wa Itel T20 wiki hii @jotiofficial Bado wengine Wengi..
Nunua kifurushi chochote na Tigo itakupa Bonus za Dakika, SMS na Mb’s na kubwa zaidi utajiwekea nafasi ya kushinda smartphone kila siku. #ItelT20 #TecnoKitochi4G kumi kila siku na #SamsungNote20 Tatu kila wiki.

 Mshindi wiki hii baada ya kukakabidhiwa Smart Tv yake akipozi kwa picha 
Katika Msimu huu wa sikukuu Tigo inatoa zawadi kupitia #JazaTukujazeTena hata ukinunua simu ya Itel T20 pamoja na Kitochi 4G Smart ambapo unapata hadi GB 30 za internet kutumia mwaka mzima! Na kubwa zaidi nafasi ya kushinda Smart Tv pamoja na Piki piki.
Tembelea maduka ya Tigo nchi nzima.

No comments:

Post a Comment