![]() |
| Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump akiaga rasmi kabla ya kuingia ndani ya ndege ya Marine One tayari kwa kuondoka Ikulu ya White House. |
![]() |
| Ndege ya Marine One ikiwa imetua Ikulu ya White House kwa ajili ya kumbeba aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump. |
![]() |
| Ndege ya Marine One ikiondoka eneo la Ikulu ya White House baada ya kumbeba aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump. |
![]() |
| Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump pamoja na mkewe wakielekea kupanda ndege ya Marine One tayari kwa kuondoka White House. |





No comments:
Post a Comment