Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Doto Mashaka Biteko kuwa Waziri wa Madini katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Medard Matogolo Kalemani kuwa Waziri wa Nishati katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Selemani Said Jafo kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Joyce Lazaro Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ummy Ally Mwalimu kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jenister Joakim Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu) katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha William Vangimembe Lukuvi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 09 Desemba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Cpt. Mst. George Huruma Mkuchika kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora) katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 09 Desemba 2020.
No comments:
Post a Comment