NMB YATANGAZA WASHINDI 40 WA DROO YA PILI MASTABATA SIYO KIKAWAIDA! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 12 December 2020

NMB YATANGAZA WASHINDI 40 WA DROO YA PILI MASTABATA SIYO KIKAWAIDA!

Meneja  Mwandamizi Idara ya biashara za kadi wa Benki ya NMB - Manfred Kayala akichezesha droo ya pili ya Promosheni ya Mastabata Isiyo Kikawaida  iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Kitengo cha uzalishaji Kadi wa Benki ya NMB-Sophia Mwamwitu na kulia ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha-Rasuli Masudi.

Meneja  Mwandamizi Idara ya biashara za Kadi wa Benki ya NMB - Manfred Kayala (katikati) akizungumza wakati wa kuchezesha droo ya pili ya Promosheni ya Mastabata IsiyoKikawaida iliyochezeshwa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Kitengo cha uzalishaji Kadi wa Benki ya NMB -Sophia Mwamwitu na kulia ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha - Rasuli Masudi.

No comments:

Post a Comment