WAGOMBEA UDIWANI WAPIGA PUSH-UP MKUTANO WA DK MAGUFULI AKIHUTUBIA MUSOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 5 September 2020

WAGOMBEA UDIWANI WAPIGA PUSH-UP MKUTANO WA DK MAGUFULI AKIHUTUBIA MUSOMA

Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akisalimiana na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara Jumamosi Septemba 5, 2020.

Mama Janeth Magufuli akizungumza jambo na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere alipojiunga na wananchi wa mkoa wa Mara kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara Jumamosi Septemba 5, 2020.

Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akiwasili na wanae Makongoro na Madaraka Nyerere kujiunga na wananchi wa mkoa wa Mara kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara Jumamosi Septemba 5, 2020.

Wagombea nafasi za udiwani katika mbalimbali mkoa wa Mara wakihamasishana kupiga push-up kuonesha uimara mbele ya Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Mkendo mjini Musoma mkoa wa Mara Jumamosi Septemba 5, 2020.

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akinadi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 ambayo ikiwa na ukurasa zaidi ya mia tatu ni kubwa mara tatu zaidi ya ile ya mwaka 2015.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Mukendo kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Musoma mkoani Mara. 

Sehemu ya Wanachi waliokusanyika katika uwanja wa Mukendo Musoma mkoani Mara kwa ajili ya kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Musoma katika mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa CCM zilizofanyika katika viwanja wa Mukendo mkoani Mara.

No comments:

Post a Comment