MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI UWANJA WA MAJENGO MOSHI NA KIRIMA JUU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 6 September 2020

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI UWANJA WA MAJENGO MOSHI NA KIRIMA JUU

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Majengo mjini Moshi, Septemba 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimuombea kura mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Moshi Mjini, Priscus Tarimo katika mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Majengo mjini Moshi, Septemba 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Majengo mjini Moshi, Septemba 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Sehemu ya wannchi ktika mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Majengo mjini Moshi, Septemba 6, 2020.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Majengo mjini Moshi, Septemba 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 – 2025 mgombea ubunge wa jimbo la Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Mkoringa, Kirima Juu katika jimbo la Moshi Vijijini, Septemba 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Naibu  Waziri na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Aggrey Mwanri maarufu kwa jina la Mzee wa Toronto katika mkutano wa kampeni  uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Mkoringa, Kirima Juu, Moshi Vijijini Septemba 6, 2020. Katikati ni Naibu Waziri wa Afya na Mgombea Ubunge wa jimbo la Siha, Dokta Gogwin Mollel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)

No comments:

Post a Comment