MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA BAHI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 1 September 2020

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA BAHI

Wananchi wa Manyoni wakimsikiliza mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika Kampeni za Urais wakati akiwa njiani kuelekea Singida mjini leo tarehe 1 Septemba, 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Manyoni katika Kampeni za Urais wakati akiwa njiani kuelekea Singida mjini leo tarehe 1 Septemba, 2020.

Wananchi wilayani Bahi mkoa wa Dodoma wakiwa kwa mkutano wa kampeni wa hadhara leo Jumanne Septemba 1, 2020, ikiwa ni kituo chake cha kwanza toka azindue rasmi kampeni zake za kugombea Urais.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa na mamia ya wananchi wakati akiwasili  wilayani Bahi mkoa wa Dodoma kwa mkutano wa kampeni wa hadhara leo Jumanne Septemba 1, 2020, ikiwa ni kituo chake cha kwanza toka azindue rasmi kampeni zake za kugombea Urais.

No comments:

Post a Comment