MGOMBEA URAIS CCM DK MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI SHINYANGA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 3 September 2020

MGOMBEA URAIS CCM DK MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI SHINYANGA

 

Taswira za umati wa wananchi wakimsikiliza mgombea Urais wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM), Rais Dkt John Pombe Magufuli akimwaga sera katika Uwanja waCCM Kambarage mjini Shinyanga leo




Taswira za umati wa wananchi wakimsikiliza mgombea Urais wa Chama cha
Mapinduzi Rais Dkt John Pombe Magufuli akimwaga sera katika Uwanja waCCM Kambarage mjini Shinyanga.




Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru akiwa Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.


Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza mziki pamoja na Msanii wa Bongo Flavour Chege Chigunda mara baada ya kuhutubia wananchi wa Shinyanga mjini katika Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.


Mkutano wa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Shinyanga Mjini.


No comments:

Post a Comment