MAJALIWA AVUNJA MAKUNDI CCM BABATI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 2 September 2020

MAJALIWA AVUNJA MAKUNDI CCM BABATI

 

Mgombea ubunge wa Jimbo la Babati Mjini, Pauline Gekul akikumbatiana na Esther Mahawe, mmoja wa wanaCCM waliotia nia ya kuomba uteuzi wa Chama wa kuwania ubunge katika Jimbo hilo katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za CCM mkoani Manyara kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati, Septemba 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul (katikati) na Esther Mahawe (kushoto) wakati alipowaasa  wanaCCM wote waliotia nia ya kugombea ubunge wa Jimbo hilo waondoe tofauti zao  na wamuunge mkono mgombea aliyeteuliwa na CCM. Alikuwa akizindua Kampeni za CCM katika Mkoa wa Manyara kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati, Septemba 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


No comments:

Post a Comment