MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI LONGIDO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 4 September 2020

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI LONGIDO

 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ilani ya CCM ya. 2020-2025 Mgombea Ubunge wa jimbo la Longido, Dkt. Stephen Kiluswa katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Polisi, Longido, Septemba 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtambulisha Mgombea ubunge jimbo la Longido,  Dkt. Stephen  Kiluswa katika mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Polisi, Longido, Septemba  3, 2020.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).



Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano wa kampeni za CCM kwenye uwanja wa Polisi, Longido, Septemba 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Wananchi wakimpungia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa Polisi, Longido kuhutubia mkutano wa kampeni za CCM, Septemba 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment