BASHUNGWA APIGA MAGOTI KUOMBEA KURA ZA MAGUFULI...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 2 September 2020

BASHUNGWA APIGA MAGOTI KUOMBEA KURA ZA MAGUFULI...!

Waziri wa Viwanda na Biashara na mgombea ubunge jimbo la Karagwe, Mhe. Innocent Bashungwa akiwa amepiga magoti kumuombea kura za kishindo kwa asilimia 100 Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani kwa mkoa Kagera katika uwanja Mayunga, Bukoba mjini, Septemba 02, 2020 (Picha na Eliud Rwechungura).


Waziri wa Viwanda na Biashara na mgombea ubunge jimbo la Karagwe, Mhe. Innocent Bashungwa akiwaleza wananchi wa mkoa Kagera mafaniko yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya tano wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani kwa mkoa Kagera katika uwanja Mayunga, Bukoba mjini, Septemba 02, 2020.


 Waziri wa Viwanda na Biashara na mgombea ubunge jimbo la Karagwe, Mhe. Innocent Bashungwa akiinadi Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani kwa mkoa Kagera katika uwanja Mayunga, Bukoba mjini, Septemba 02, 2020.


No comments:

Post a Comment