TANZANIA YAZINDUA MATUMIZI YA MUHURI WA USALAMA WA WASAFIRI...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 12 August 2020

TANZANIA YAZINDUA MATUMIZI YA MUHURI WA USALAMA WA WASAFIRI...!

 

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ( kulia) akisalimiana na  Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Harmonize (kushoto) wakati wa uzinduzi rasmi wa matumizi ya nembo ya Muhuri wa Usalama wa wasafiri iliyotolewa kwa Tanzania na Baraza la Wasafiri na Utalii Duniani (WTTC) leo jijini Dar es salaam.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) akionesha nembo ya Muhuri wa Usalama wa wasafiri iliyotolewa kwa Tanzania na Baraza la Wasafiri na Utalii Duniani (WTTC) leo jijini Dar es salaam. Wengine wanaoshuhudia tukio hilo ni Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Diamond Platinum na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Utalii Tanzania, Richard Rugimbana.

No comments:

Post a Comment