WASANII ALI KIBA NA DIAMOND PLATINUMZ WATUMBUIZA JUKWAA MOJA DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 11 July 2020

WASANII ALI KIBA NA DIAMOND PLATINUMZ WATUMBUIZA JUKWAA MOJA DODOMA

Msanii nguli wa Bongo Fleva Ali Kiba akitumbuiza wajumbe katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020.

Msanii Diamond Platinumz akitumbuiza kwa wimbo wa "Magufuli Baba Lao" wakati wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020.

Add caption

Wasaniii wakitumbuiza katika Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Conventional Center jijini Dodoma.

Msanii Zuchu akitumbuiza katika Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijiji Dodoma Jumamosi Julai 11, 2020.

No comments:

Post a Comment