RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NA TAKUKURU DODOMA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Wednesday, 22 July 2020

demo-image

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NA TAKUKURU DODOMA

t6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya C hamwino akiwa  na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma Julai 22, 2020.

nec4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi akiwa  na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na
viongozi wengine eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma Julai 22, 2020.

nec5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunia kitambaa kuashiria uzinduzi wa Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi akiwa  na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma Julai 22, 2020.

t5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya C hamwino akiwa  na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma Julai 22, 2020.

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *