RAIS DK MAGUFULI AONGOZA WATANZANIA MAZISHI YA RAIS MSTAAFU BENJAMIN WILLIAM MKAPA KIJIJINI LUPASO MTWARA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 29 July 2020

RAIS DK MAGUFULI AONGOZA WATANZANIA MAZISHI YA RAIS MSTAAFU BENJAMIN WILLIAM MKAPA KIJIJINI LUPASO MTWARA

Mabregedia Jenerali wa JWTZ wakishuhudia Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa likishushwa kaburini Lupaso Masasi mkoani Mtwara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka udongo kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa katika Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara.

Mabregedia Jenerali wa JWTZ wanaobeba Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapamwili wakipiga saluti kabla ya mwili kushushwa kaburini. 

Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa akiweka udongo kwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa katika Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara. PICHA NA IKULU.

Wanajeshi wa JWTZ wakiwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa kuelekea eneo la Makaburi kwa ajili ya Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara.


Wanajeshi wa JWTZ wakiwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa kuelekea eneo la Makaburi kwa ajili ya Mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Lupaso Masasi Mkoani Mtwara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja Wananchi wa Lupaso waliohudhuria katika Mazishi hayo ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa Lupaso Masasi mkoani Mtwara.

Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe akiwa na wanae na wajukuu kijijini Lupaso, Masasi, Mtwara Jumatano Julai 28, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakiomba dua baada ya kuweka shada la mauakwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mzee Benjamin William Mkapa wakati wa mazishi kijijini Lupaso, Masasi, Mtwara Jumatano Julai 28, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakijiandaa kuweka shada la mauakwenye kaburi la Rais Mstaafu wa Awamu ya Hayati Tatu Mzee Benjamin William Mkapa wakati wa mazishi kijijini Lupaso, Masasi, Mtwara Jumatano Julai 28, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, Mama Anna Mkapa wakati wakielekea kuweka Udongo kwenye Kaburi la Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa Kijijini Lupaso Masasi mkoani Mtwara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja Wananchi wa Lupaso waliohudhuria katika Mazishi hayo ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa Lupaso Masasi mkoani Mtwara.


No comments:

Post a Comment