RAIS DK. MAGUFULI AAPISHA IONGOZI ANUAI IKULU CHAMWINO, DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 6 July 2020

RAIS DK. MAGUFULI AAPISHA IONGOZI ANUAI IKULU CHAMWINO, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha baada ya kumthibitisha Bw. James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa za Kulevya nchini (DCEA) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Mriam Perla Mbaga kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Simiyu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha wa Ofisa Thobias Emir Andengenye kuwa Mkuu wa Mkoa waKigoma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020.

Wateuliwa wakila kiapo cha maadili ya Viongozi mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akimuapisha Kanali Mathias Kahabi  kuwa Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Morogoro Mhe. Loatha Ole  Sanare akimuapisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Ismail Twahir Mlawa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Morogoro Mhe. Loatha Ole  Sanare akimuapisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (SACP) Ismail Twahir Mlawa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea mara baada ya kuwaapisha viongozi aliowateuwa katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Julai 6, 2020.

No comments:

Post a Comment