KATIBU MKUU WA CCM, DK. BASHIRU APOKEA GARI MAALUM LA KAMPENI ZA CCM, DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 9 July 2020

KATIBU MKUU WA CCM, DK. BASHIRU APOKEA GARI MAALUM LA KAMPENI ZA CCM, DODOMA

Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akiwasha gari maalum ambalo litatumiwa na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu baada ya kulipokea Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma. Kushoto ni dereva Hassan Omar. (Picha na CCM)

Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akiendesha gari maalum ambalo litatumiwa na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya kuipokea Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma. (Picha na CCM).

Gari maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT)  wakati wa kampeni za uchaguzi ikiingia katika Ukumbi Jakaya Kikwete baada ya kulipokea na Katibu Mkuu CCM, Dk. Bahiru Ally, Makao Mkuu ya CCM jijini Dodoma. (Picha na CCM).

No comments:

Post a Comment