Baadhi ya wapiga kura na wagombea wakitafakari ukumbini. Picha kwa hisani ya Clouds Media |
BAADHI YA MATOKEO KURA ZA MAONI CCM
(1) UBUNGO
1. Prof. Kitila Mkumbo - 172
2. Bi.Mwantum Mgonja - 73
(2) SEGEREA
1. Bonnah Kamoli - 365
2. Asaa Simba - 41
3. Shaabani Oromi - 20
(3) TEMEKE
1. Abbas Mtemvu - 203
2.Doris Kilave - 182
3.Abdallah Mtolea - 22.
(4) SINGIDA MJINI
1.Musa Ramadhan Sima - 158
2.Charles Kisuke - 124
3.Hassan Mazala - 92
(5) CHALINZE
1.Ridhiwan Kikwete - 369
2.Ramadhan Maneno - 273
3.Said Zikatimu - 223
(6) KIBAHA VIJIJINI
1.Hamoud Jumaa - 332
2.Michael Makamo - 33
3.Hussein Juma -31
(7) MKURANGA
1.Abdallah Ulega - 1138
2.Ramadhan Mlao - 50
3.Ally Mawe - 7
(8) ISIMANI
1.Lukuvi - 453
2.Kiyoyo - 16
3.Mwilinge - 5
4.Kidunye - 5
5.Kalinga - 4
6.Mfilinge - 4
(9) IRINGA MJINI
1.Jesca Msambatavangu - 190
2.Nguvu Chengula - 75
3.Ibrahim Ngwada - 44
(10) MAFINGA MJINI
1.Cosato Chumi - 135
2.Dr. Bazil Tweve - 122
(11) BUMBULI
1. January Makamba - 680
2. Abdulkadir Kaniki - 21
3. Muhajir Madiwa - 12
(12) PANGANI
1.Jumaa Awesso - 281
Jimbo la Tunduma mkoani Songwe.
1. Aden Mwakyonde 250
2. David Silinde 118
3. Daines Sichalwe 20
Jimbo la Kasulu Mjini mkoani Kigoma
Prof Ndalichako ameshinshinda kura 405
Bw. Daniel Nsanzugwanko 80
MISUNGWI
Charles Kitwanga 260,
Alexander Mnyeti 406.
KUTOKA JIMBONI SIHA
1. Dr Godwin Mollel..58
2. Justine Kweka 85
3. Lameck Munuo... 91
4.AGGREY MWANDRY... 151
5.Eng.Betson Maimu.... 231
SONGEA MJINI
1. Ndumbaro 315
2. Fuko 200
3. Ibrahim 34
4. Mbilinyi 11
5. Mwl Mpendwa Milanzi 8
6. Mdede 5
7. Mhenga 5
Jimbo la Kigamboni
1. Ndugulile 192
2. Makonda 122
JIMBO LA BUTIAMA
Jumanne Sagini 84
Frank Mahemba 80
Joseph Nyamboha 46
Manyerere Jackton 22
Makongoro Nyerere 3
Madaraka Nyerere 2
Msimamizi wa uchaguzi Msafiri Mtemi
MATOKEO YA MAJIMBO MATATU KAGERA;-
Bukoba mjini:- Kati ya wajumbe354 ni 326walioudhuria na kupiga kura ambapo watia nia walikuwa 57 na mshindi ni Almasoud Kalumuna aliyepata kura 116, Dr Mhaji Kachwamba 36, Dr. Anatory Amani 17
Jimbo la Kigoma Kusini(Uvinza)
Matokeo.....
1.Eng sasilo kura 01
2.Bwire kura 02
3.Rugema kura 07
4.mzee Mtura kura 11
5.Chacharika kura 10
6.Aminiel kura 29
7.kafulila kura 64 (4)
8.Nashoni kura 141 (2)
9.Kizito kura 117 (3)
10.Hasna kura 272 (1)
Muleba kasikazini:- Charles Mwijage ameongoza kwa 387 Mujungu 135
Nkenge;- Florent Kyombo 103. Asumpta 93 Dr. Diodorous Kamala 24
Matokeo Maoni Kilosa (Wagombea 26):
1. Prof Kabudi-717
2. Haji Kaunda-101
3. Dr Ford- 51
4. Abubakar- 42
5. Dr Saileni - 29
6. Mganga - 6
Ahsanteni
Taarifa ya matokeo yasiyo rasimi kura ya MAONI Jimbo la BUKENE
(1) Suleiman ZEDI 250 Mbunge mtetezi
(2) Heneriko K 181
(3) Deo KAHUMBI 49
(4) MPINGA Alex 23
(5) Kaswiza MBARUKU 22
(6) Hidaya MAMBOSASA 21
(7) Defi PETER LISU 14
(7) Kitwana ABDALLAH 14
(8) Mkunda FRANK 13
(9) Nkwabi ALI 8
(9) Lugenzi KABALE 8
(10) Rosemary HANGI 7
Dr. Tulia ameongoza kwa 96% ya kura zote zilizopigwa na Wajumbe ambazo ni 885
Matokeo ya Kura za maoni ngazi ya ubunge Mbeya mjini .. idadi ya Kura (924)
1Tulia Ackson =843
2.Vikita =01.
3.Mwakipesele =11
4.Mwakaloge =2
5.Mwaifani =3
6.Bwiga =1
7.Fugale =1
8.Mabula =16
9.Mwademba= 2
10.Wagombea wengine(23) = 00
Jimbo la Nzega Vijijini
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameshinda kura za maoni, amepata kura 415 kati ya 731 zilizopigwa, akiwa amemuacha mshindani wake wa pili John Doto Kisute aliyepata kura 264. Mshindi wa tatu akiwa na ndugu Gabriel Ishole aliyepata kura 8. Kura zilizoharibika ni 5 na wagombea wengine 16 wakiwa wamepata chini ya kura 3 kila mmoja.
Jimbo la Mtama
Nape Nnauye-496
Nahonyo Nahonyo- 167
Augustino Chiwinga- 8
No comments:
Post a Comment