RAIS DK MAGUFULI ASALI MISA YA UTATU MTAKATIFU PAROKIA YA MTAKATIFU BIKIRA MARIA IMACULATA CHAMWINO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 7 June 2020

RAIS DK MAGUFULI ASALI MISA YA UTATU MTAKATIFU PAROKIA YA MTAKATIFU BIKIRA MARIA IMACULATA CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejumuika na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Chamwino katika  Misa ya Jumapili ya Sikukuu ya Utatu Mtakatifu leo tarehe 7 Juni 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo tarehe 7 Juni 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati alipokuwa akiendesha Harambee ya Papo kwa papo kwa ajili ya upanuzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo tarehe 7 Juni 2020. Katika Harambee hiyo jumla ya Shilingi Milioni 17 zilipatikana pamoja na mifuko 76 ya Saruji na Mhe. Rais Magufuli alichanga peke yake kiasi cha Shilingi Milioni 10.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watumishi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Chamwino Ikulu mara baada ya Misa ya Jumapili ya Sikukuu ya Utatu Mtakatifu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Chamwino Paulo Mapalala mara baada ya misa ya Jumapili ya Sikukuu ya Utatu Mtakatifu katika Kanisa hilo. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment