RAIS DK MAGUFULI AFUNGUA OFISI ZA ZIMAMOTO, DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday 11 June 2020

RAIS DK MAGUFULI AFUNGUA OFISI ZA ZIMAMOTO, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyakazi wa Jeshi la Zimamoto kabla ya kufungua Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitazama kibao cha Ufunguzi mara baada ya kufungua Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lililopo Makole jijini Dodoma.

Maofisa wa Jeshi la Zimamoto wakipiga makofi wakati wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya ufunguzi wa Jengo hilo.

Jengo la Makao Makuu Ofisi za Zimamoto Makole mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment