Viongozi pamoja na wawakilishi mbalimbali wa Chama cha Walimu CWT wakiwa katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo tarehe 5 Juni 2020. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya Kwaya ya Chama cha Walimu CWT kutumbuiza katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
|
Viongozi mbalimbali pamoja na Walimu wakiimba Wimbo wa Mshikamano kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CWT uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
|
Waalimu wakishangilia mara baada ya Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
|
Kwaya ya CWT ikitumbuiza kabla ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia na kufungua mkutano huo wa Uchaguzi.
|
No comments:
Post a Comment