Na George Binagi, Mwanza
Waziri
Kamwelwe ameyasema hayo Jumatatu Juni Mosi 2020 jijini Mwanza wakati akifungua
mkutano wa kupokea mikakati ya pamoja kuondoa vikwazo na kufanikisha biashara ya
usafirishaji minofu ya samaki kwenda nje ya nchi hususani mataifa ya Ulaya
ambako kumekuwa na soko la uhakika.
Kikao hicho
kimewajumuisha pia Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Wizara za Mifugo na Uvuvi,
Viwanda na Biashara pamoja na Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa ya
Kanda ya Ziwa.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (katika) akizungumza kwenye kikao hicho. Kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa na kulia ni Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella.
No comments:
Post a Comment