DK KIGWANGALLA AELEZA MAFANIKIO YA CCM JIMBO LA NZEGA VIJIJINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 14 June 2020

DK KIGWANGALLA AELEZA MAFANIKIO YA CCM JIMBO LA NZEGA VIJIJINI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mlezi wa CCM mkoa wa Tabora, Ndugu, Afadhali Taib Afadhali akikabidhi pikipiki aina ya Boxer kwa Mwenyekiti wa CCM Kata ya Ugembe jimbo la Nzega vijijini. Pikipiki hiyo ni miongoni mwa pikipiki 40 zilizotolewa na Mbunge wa jimbo la Nzega Vijijini na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ikiwa ni mchango wake wa kusaidia utendaji wa shughuli za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Kata na matawi mbalimbali ya jimbo hilo.

Sehemu ya pikipiki 40 na Baiskeli 736 zilizotolewa na Mbunge wa jimbo la Nzega Vijijini na Waziri wa Maliasili na Utalii,  Dkt. Hamisi Kigwangalla kwa Chama Cha Mapiduzi ikiwa ni mchango wake wa kusaidia utendaji wa shughuli za Chama hicho kwenye Kata na matawi mbalimbali ya jimbo hilo.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mlezi wa CCM mkoa wa Tabora, Ndugu Afadhali Taib Afadhali akikabidhi baiskeli kwa viongozi wa matawi ya CCM jimbo la Nzega vijijini. Baiskeli 736 zimetolewa na Mbunge wa jimbo la Nzega Vijijini na Waziri wa Maliasili na Utalii,  Dkt. Hamisi Kigwangalla ikiwa ni mchango wake wa kusaidia utendaji wa shughuli za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Kata na matawi mbalimbali ya jimbo hilo.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Jimbo la Nzega Vijijini wakifuatilia hotuba ya utekelzaji wa Ilani ya CCM kwa kipindi cha miaka  iliyokuwa ikitolewa na Mbunge wa jimbo la Nzega Vijijini na Waziri wa Maliasili na Utalii,  Dkt. Hamisi Kigwangalla.

Mbunge wa jimbo la Nzega Vijijini na Waziri wa Maliasili na Utalii,  Dkt. Hamisi Kigwangalla akieleza utekelzaji wa Ilani ya CCM na ahadi alizozitoa kwa kipindi cha miaka  wakati wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Nzega Vijijini.

No comments:

Post a Comment