![]() |
| Dkt. Masumbuko Lamwai. |
MWANASHERIA na mwanasiasa mkongwe Dkt. Masumbuko Lamwai afariki dunia usiku wa kuamkia leo. Dk. Lamwai aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo na mbunge wa kuteuliwa na rais. Taarifa zaidi ni hapo baadaye..
About JOE MUSHI
No comments:
Post a Comment