Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiongea na ugeni wa timu ya Pamba ya jijini Mwanza walipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Nyamagana jijini humo Stanslaus Mabula, Mwenyekiti wa timu hiyo Aleem Alibah (wa pili kushoto) na Afisa Habari wa timu hiyo Abdalah Hassan Chauss (wa kwanza kushoto).
(Picha na Eleuteri Mangi-WHUSM, Dodoma)
|
Man United wametoa ofa ya pauni milioni 70 kwa mshambuliaji anayetajwa kuwa
“mchezaji mzuri”
-
Manchester United wanaripotiwa kutaka kumnunua mshambuliaji wa Napoli
Victor Osimhen, ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo Galatasaray. Mashetani
Wekundu wamet...
14 minutes ago
No comments:
Post a Comment