Safari ikiendelea ya ziara ya Mkuu wa wilaya kutembelea Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa na halmashauri ya Jiji la Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha. |
Msafara Kuelekea shule ya Sekondari Moivaro |
Mkuu wa wilaya ya Arusha akipata maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Madarasa Manne kutoka kwa Kaimu mhandisi wa Jiji la Arusha Samwel Mshuza |
Samweli Mshuza Kaimu mhandisi akitoa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Madarasa shule ya Sekondari Baraa |
Maelezo ya Mradi yakiendelea |
Ukaguzi ukiendelea wa Mradi wa Ujenzi wa Madarasa shule ya Sekondari Baraa kata ya Baraa jijini Arusha |
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Fabian Daqarro akitembelea kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari Moivaro kata ya Baraa jijini Arusha |
Sehemu ya muonekano wa kata ya Baraa jijini Arusha ilipigwa kutoka juu wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo kwa Jiji la Arusha |
Mkuu wa wilaya akiwasili kwenye Kituo Cha Zahanati ya Kata ya Baraa leo jijini Arusha wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo ndani ya Jiji hilo |
Kaimu Mhandisi wa halmashauri ya Jiji la Arusha Samwel Mshuza akitoa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Zahanati ya Baraa picha na Ahmed Mahmoud Arusha |
Mtendaji wa Kata ya Baraa Anna Ledisa akitoa maelezo akiwa na kaimu Mhandisi wa halmashauri ya Jiji la Arusha Samwel Mshuza |
Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro akiwa na Mkurugenzi wakipata ufafanuzi kutoka kwa Mhandisi wa halmashauri ya Jiji la Arusha Samwel Mshuza leo kwenye Zahanati ya Baraa |
Sehemu ya ukaguzi wa Zahanati ya Baraa |
Muonekano wa Zahanati ya Baraa |
Ukaguzi wa Hospitali ya wilaya jengo la Mama na mtoto |
Muonekano wa vyoo kwenye Zahanati ya Baraa |
Sehemu ya vyoo vya Zahanati ya Baraa |
Dc Daqarro akipata maelezo ya Ujenzi wa Zahanati ya Baraa sehemu ya majitaka Leo jijini Arusha |
Kuwasili Hospital ya wilaya kukagua Ujenzi wa jengo la mama na mtoto hapa ni sehemu ya jengo la Mapokezi la hospitali ya wilaya |
Mkuu wilaya ya Arusha Fabian Daqarro alipowasili kwenye hospitali ya wilaya ya Arusha Leo jijini Arusha |
Sehemu ya Jengo la mama na mtoto kwenye hospitali ya wilaya ya Arusha kama lilivyokutwa na kamera ya matukio Leo jijini Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha |
Kuwasili hospitali ya wilaya |
Ukaguzi ukiendelea Jengo la Mama na mtoto kwenye hospital ya wilaya ya Arusha |
Sehemu ya Jengo la Mama na mtoto kama linavyoonekana leo jijini Arusha |
Muonekano wa Jengo la Mama na Mtoto kwenye hospitali ya wilaya ya Arusha Leo jijini Arusha |
Muonekano wa Jengo la Mapokezi kwa nyuma kama lilivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi iliyofanywa na Mkuu wa wilaya ya Arusha Leo jijini hapa. |
Mkuu wa wilaya ya Arusha akifuatana na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha wakishuka eneo la Juu kwenye Jengo la Mama na Mtoto kwenye hospitali ya wilaya ya Arusha Leo jijini Arusha. |
Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro akiongea na waandishi wa habari Mara baada ya kukagua ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto kwenye hospitali ya wilaya ya Arusha |
Muonekano wa majengo ya Maduka ya halmashauri ya Jiji la Arusha |
Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro baada ya kuwasili kwenye Ujenzi wa Maduka eneo la Krokoni jijini hapa Leo picha na Ahmed Mahmoud Arusha |
Muonekano wa maduka kwenye eneo la Krokoni |
Dc akiwa na Mkurugenzi wakikagua chumba Cha Dukq eneo la Krokoni jijini Arusha leo |
Mkuu wa wilaya ya Arusha Fabian Daqarro akitoa maelekezo wakati alipotembelea Ujenzi wa maduka eneo la Krokoni jijini Arusha leo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha. |
No comments:
Post a Comment