WANAWAKE WAJIFUNZA UJENZI NA UKARABATI WA BARABARA KWA VITENDO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 12 March 2020

WANAWAKE WAJIFUNZA UJENZI NA UKARABATI WA BARABARA KWA VITENDO

Washiriki wa mafunzo ya ujenzi na ukarabati wa barabara wakijifunza namna ya kutumia kipimo cha mkanda (Tap Measure) kupima usawa wa barabara wakiwa katika eneo la chuo cha ujenzi mkoani Morogoro.

Mkufunzi wa Chuo cha Teknolojia stahiki ya nguvu kazi ATTI  Mbeya, Richard Kansimba akiwafundisha kwa vitendo wanawake waliokuwa kwenye mafunzo ya ujenzi na ukarabati wa barabara yaliyofanyika mkoani Morogoro namna ya kufanya vipimo vya barabara na kuweka usawa ili kuepukana na matuta yasiyo yalazima barabarani.

Wanawake walioshiriki mafunzo ya ujenzi na ukarabati wa barabara mkoani Morogoro wakijifunza kwa vitendo mafunzo waliopewa ya ujenzi wa barabara kwa kufuata vipimo, (pichani  wanasawazisha udongo ili kupata usawa wa barabara).

Wanawake baada ya kufanya vipimo vya ujenzi na ukarabati wa barabara na kujilizisha na vipimo hivyo wakiwa wameenza kuchonga barabara hiyo ambayo walikuwa wakipima.

No comments:

Post a Comment