![]() |
Waziri wa Afya Tanzania Ummy Mwalimu |
Wizara ya Afya nchini Tanzania leo Jumatatu Machi 30, imetangaza wagonjwa wapya watano wa virusi vya corona hali inayofikisha idadi ya wagonjwa nchini humo kufikia 19. Kati yao watatu (3) kutoka Dar ES Salaam na wawili (2) kutoka Zanzibar.
No comments:
Post a Comment