RAIS DKT. SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA KIMATAIFA YA ‘THE GLOBAL GOALKEEPER AWARD’ KUTOKA TAASISI YA GATES YA MAREKANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 4 February 2025

RAIS DKT. SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA KIMATAIFA YA ‘THE GLOBAL GOALKEEPER AWARD’ KUTOKA TAASISI YA GATES YA MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award kutoka kwa Rais wa Kitengo cha Usawa wa Jinsia kutoka Taasisi ya Gates, Dkt. Anita Zaidi kwenye hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Februari, 2025. Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu. Mhe. Rais Samia amepewa Tuzo hiyo katika kipengele cha mapambano dhidi ya vifo vya wamama wajawazito na watoto wachanga chini ya umri wa miaka mitano.

Rais Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan atunukiwa Tuzo ya Kimataifa ya ‘The Global Goalkeeper Award’ kutoka Taasisi ya Gates ya Marekani kwenye hafla iliyofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Kitengo cha Usawa wa Jinsia kutoka Taasisi ya Gates kutoka Marekani Dkt. Anita Zaidi, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama pamoja na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award kutoka Taasisi ya Gates ya Marekani. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Februari, 2025.

No comments:

Post a Comment