MATUKIO PICHA : KATIBU MKUU CHAMURIHO ARIDHISHWA NA UJENZI WA CHELEZO NA MELI MPYA MWANZA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Monday, 30 March 2020

demo-image

MATUKIO PICHA : KATIBU MKUU CHAMURIHO ARIDHISHWA NA UJENZI WA CHELEZO NA MELI MPYA MWANZA

PICHA+NO+1
Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho, akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa meli mpya, chelezo na Ukarabati wa Meli ya MV Victoria jijini Mwanza, Mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, Eric Hamissi.

PICHA+NO+4
Katibu Mkuu wa Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho, akimsikiliza Muwakilishi wa Kampuni ya KTMI ya Korea Kusini, inayojenga meli mpya katika bandari ya Mwanza South wakati akimweleza hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa meli, wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea maendeleo ya ujenzi wake mwishoni mwa wiki.


PICHA+NO+3
Muonekano wa Chelezo inayojengwa katika bandari ya Mwanza South ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 96. Kukamilika kwa chelezo kutarahisisha matengenezo ya meli katika Ziwa Victoria.


PICHA+NO+5
Muonekano wa meli ya MV Victoria mara baada ya ukabati mkubwa ambao mpaka sasa umefikia asilimia zaidi ya 96. Meli hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 1,200 na mzigo wa tani 200.


Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *