MWANAHABARI ASHA MUHAJI AZIKWA JIJINI DAR...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 26 March 2020

MWANAHABARI ASHA MUHAJI AZIKWA JIJINI DAR...!


Picha mbalimbali za maziko ya mwanahabari Asha Muhaji akihifadhiwa katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni jijini Dar es Salaam leo. Marehemu Asha ambaye kitaaluma ni mwanahabari alifariki dunia jana katika Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Ndege)

Waombolezaji wakishusha mwili wa marehemu Asha Muhaji kaburini.

Waombolezaji wakishusha mwili wa marehemu Asha Muhaji kaburini.

No comments:

Post a Comment