MATUKIO PICHA : MKATABA UJENZI BARABARA NANGANGA-RUANGWA KUSAINIWA MACHI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 16 March 2020

MATUKIO PICHA : MKATABA UJENZI BARABARA NANGANGA-RUANGWA KUSAINIWA MACHI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwasili katika viwanja vya Likangara wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, alipozungumza na wananchi, Machi 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi katika viwanja vya Likangara wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, Machi 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment