RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI NA KUWAAPISHA MABALOZI WATEULE 4 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 14, 2020 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 14 January 2020

RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI NA KUWAAPISHA MABALOZI WATEULE 4 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 14, 2020


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu  jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Balozi mteule Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika kusini. Hafla iliyofanyika Ikulu  Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Balozi mteule Prof. Emmanuel David Mwaluko Mbennah kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe. Hafla iliyofanyika Ikulu  Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Balozi mteule Dkt. Benson Alfred Bana kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Hafla iliyofanyika Ikulu  Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020.

No comments:

Post a Comment