RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM AHMED SALIM JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 29, 2020. - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 29 January 2020

RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM AHMED SALIM JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 29, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungmza na  familia ya Waziri mkuu Mstaafu Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim alipokwenda kumjulia hali, anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Januari 29, 2020. Mhe. Rais ametoa wito kwa Watanzania kumuombea Dkt. Salim ili apone kwa haraka ambapo kabla kurejeshwa Jijini Dar es salaam, Dkt. Salim alikuwa akipatiwa matibabu Nchini Uingereza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama Amne Salim (mke wa Dkt. Salim) alipokwenda kumjulia hali Waziri mkuu Mstaafu Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Januari 29, 2020. Mhe. Rais ametoa wito kwa Watanzania kumuombea Dkt. Salim ili apone kwa haraka ambapo kabla kurejeshwa Jijini Dar es salaam, Dkt. Salim alikuwa akipatiwa matibabu Nchini Uingereza. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Amne Salim (mke wa Dkt. Salim) alipokwenda kumjulia hali Waziri mkuu Mstaafu Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Januari 29, 2020. Mhe. Rais ametoa wito kwa Watanzania kumuombea Dkt. Salim ili apone kwa haraka ambapo kabla kurejeshwa Jijini Dar es salaam, Dkt. Salim alikuwa akipatiwa matibabu Nchini Uingereza.

No comments:

Post a Comment