RAIS DK MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA. JANUARI 09, 2020 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 9 January 2020

RAIS DK MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA. JANUARI 09, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dart es salaam mara baada ya kuwasili akitokea mapumzikoni Chato mkoani Geita leo Alhamisi Januari 9, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakitokea mapumzikoni Chato mkoani Geita leo Alhamisi Januari 9, 2020. Picha na Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakitokea mapumzikoni Chato mkoani Geita leo Alhamisi Januari 9, 2020. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment