RAIS DK MAGUFULI APOKEA HATI ZA MABALOZI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 28 January 2020

RAIS DK MAGUFULI APOKEA HATI ZA MABALOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ureno hapa nchini mwenye makazi yake nchini Msumbiji  Maria Amelia Maio De PAIVA katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Singapore hapa nchini mwenye makazi yake Singapore Douglas Foo Peow Yong katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino hapa nchini mwenye makazi yake nchini Kenya Alex Chua katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ghana mwenye makazi yake nchini Kenya Fransisca Ashiete-ODUNTON Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment