DK MWAKYEMBE AWATAKA WADAU WA MICHEZO KUENDELEZA MICHEZO KIMATAIFA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday 25 January 2020

DK MWAKYEMBE AWATAKA WADAU WA MICHEZO KUENDELEZA MICHEZO KIMATAIFA

Makamu wa Rais wa chama cha riadha taifa William Kalaghe akimkabidhi fedha taslim kiasi cha milioni tatu Waziri Mwakyembe zikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya ushiriki wa wanariadha Failuna Abdi na Alphonse Simbu kwa ajili ya kambi yao picha na Ahmed Mahmoud Arusha.

Waziri wa habari Sanaa utamaduni na Michezo Harrison Mwakyembe akizungumza na viongozi wadau wa vyama vya Michezo mbali mbali mkoani Arusha kwenye ukumbi wa ofisi ya mkoa wa Arusha kuhusiana na masuala ya Michezo changamoto na mafanikio picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Wadau wa Michezo wakifuatilia hotuba ya waziri wa habari utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Mwakyembe hayupo pichani kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha leo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

No comments:

Post a Comment