RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA ISAKA MKOANI SHINYANGA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 27 November 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA ISAKA MKOANI SHINYANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nzega mjini Mkoani Tabora wakati akielekea Isaka mkoani Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Isaka Mkoani Shinyanga wakati akielekea Kahama. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment