RAIS DK MAGUFULI AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KITONGOJI CHA SOKOINE CHAMWINO DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 12 October 2019

RAIS DK MAGUFULI AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KITONGOJI CHA SOKOINE CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandikisha katika daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 12/10/2019. Kulia aliyekaa ni Afisa wa NEC Mary Joseph Mwambongo.


Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijiandikisha katika daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 12/10/2019. Kulia aliyekaa ni Afisa wa NEC Mary Joseph Mwambongo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kitongoji  cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo mara baada ya kujiandikisha katika katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 12/10/2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika foleni ya kuchukua chakula pamoja na Waandishi wa Habari mkoani Dodoma leo tarehe 12/10/2019.

No comments:

Post a Comment