NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA USANGI NA UGWENO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday 13 October 2019

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA USANGI NA UGWENO

Muonekano wa jengo la wodi ya mama na mtoto katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi mjini Moshi linalojengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA.

Muonekano wa barabara ya Kikweni- Usangi Km 12.5 ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Mbunge wa Mwanga Profesa Jumanne Maghembe akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), Mhe. Elius John Kwandikwa alipokagua barabara ya Kikweni- Usangi Km 12.5 na Kikweni-Ugweno km 17 ambazo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea wilayani Mwanga (kulia), ni meneja wa TANROADS mkoa wa Kilimanjaro Eng. Nkolante Ntije.

Mbunge wa Mwanga Profesa Jumanne Maghembe akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), Mhe. Elius John Kwandikwa alipokagua barabara ya Kikweni- Usangi Km 12.5 na Kikweni-Ugweno km 17 ambazo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), Mhe. Elius John Kwandikwa akisisitiza uendeshaji makini na mahiri wa pikipiki za bodaboda kwa vijana wa Kata ya Kifula-Ugweno wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro kufuatia kuanza kukamilika kwa barabara za lami katika baadhi ya maeneo yenye milima na kona kali ili kuepuka ajali.

No comments:

Post a Comment