WAZIRI KIGWANGALLA AENDELEA NA ZIARA YAKE YA JIMBO NZEGA VIJIJINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 13 October 2019

WAZIRI KIGWANGALLA AENDELEA NA ZIARA YAKE YA JIMBO NZEGA VIJIJINI

Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa ameambatana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mbagwa jimbo la Nzega Vijijini mara baada ya kuwasili katika kata hiyo akiwa katika ziara yake ya jimbo kuhamasisha maendeleo, kuzungumza na wananchi na kutatua kero.

Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na wanachama wa CCM - UWT wa Kata ya Nkiniziwa, jimbo la Nzega Vijijini wakati wa ziara yake ya jimbo ya kuhamasisha shughuli za maendeleo na kutatua kero za wananchi wa jimbo lake.

Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiangalia maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya CCM ya Kata ya Nkiniziwa wakati wa ziara yake ya jimbo ya kuhamasisha shughuli za maendeleo na kutatua kero za wananchi wa jimbo hilo.

Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Kata ya Itwigu jimbo la Nzega vijijini wakati wa ziara yake ya jimbo ya kuhamasisha shughuli za maendeleo na kutatua kero za wananchi wa jimbo hilo. PICHA ZOTE na Aron Msigwa – Nzega.

No comments:

Post a Comment