MAJALIWA AWASILI NCHINI AZERBAIJAN KUMWAKILISHA JPM KATIKA MKUTANO WA NCHI ZISIZOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 26 October 2019

MAJALIWA AWASILI NCHINI AZERBAIJAN KUMWAKILISHA JPM KATIKA MKUTANO WA NCHI ZISIZOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Azerbaijan,  Ali Ahmadov wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Heydar Aliyev, Oktoba 25, 2019 amabako atamwakilisha Rais, Dkt. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa Nchi zisizofungamana na upande wowote unaofanyika  Baku nchini humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment