STANBIC BENKI YASAIDIA SHS MILIONI 20 UJENZI DARASA LA KITUO CHA WATOTO WETU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 4 June 2019

STANBIC BENKI YASAIDIA SHS MILIONI 20 UJENZI DARASA LA KITUO CHA WATOTO WETU

Meneja wa Data wa Benki ya Stanbic Tanzania, Ally Masoud (wa tatu kushoto), akimkabidhi Muasisi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Watoto Wetu Tanzania, Evans Tegete mfano wa hundi ya thamani ya Sh. Milioni 20, ikiwa ni muendelezo wa benki hiyo kusaidia ujenzi wa madarasa kwenye kituo hicho kilichopo kijiji cha Mazizi kata ya Msata mkoani Pwani hivi karibuni. Benki ya Stanbic imekuwa ikisaidia kituo hicho kuhakikisha watoto wenye mahitaji maalumu wanapata elimu bora. Wengine ni wafanyakazi wa benki ya Stanbic pamoja na wafanyakazi na watoto wa kituo hicho.

No comments:

Post a Comment