MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA DK BADRIYA, MKE WA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 24 June 2019

MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA DK BADRIYA, MKE WA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR

Waombolezaji wakiwa wamebeja mwili wa Dkt. Badriya Abubakar Gurnah, mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi  katika  mazishi yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Upanga jijini Dar es salaam  Juni 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment