Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa kaongozana na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh
Abubakar Zubeiry bin Ally akiwasili kuwa mgeni rasmi kwenye mashindano
maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini
Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akilakiwa na Raisi wa Taasisi ya Al Hikma
Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir (kushoto) na Waziri wa TAMISEMI
wa Saudi Arabia Sheikh Dkt. Swaleh al Sheikh mara alipowasili kuwa
mgeni rasmi kwenye mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu
yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei
19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi kwenye
mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Awamu ya
Nne Dkt. Mohamed Ghalib Bilali mara baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi
kwenye mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja
wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa meza kuu wa viongozi wengine wakati wa
mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiongea na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar
Zubeiry bin Ally wakati wa mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan
Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili
Mei 19, 2019.
Sehemu ya maelfu ya waumini waliohudhuria
kwenye mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja
wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019.
Sehemu ya wadau wakati wa mashindano
maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini
Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019.
Maelfu ya waumini waliohudhuria kwenye
mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akwa meza kuu na Waziri Mkuu Mhe Kassim
Majaliwa, Rais MStaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na
Raisi wa Taasisi ya Al Hikma Foundation (kushoto kwake) na Waziri wa
TAMISEMI wa Saudi Arabia Sheikh Dkt. Swaleh al Sheikh (wa tatu kulia)
akifuatilia mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu
yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei
19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiteta jambo na Rais wa Taasisi ya Al Hikma
Foundation (kushoto)wakati wa mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan
Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili
Mei 19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli na meza kuu wakimsikiliza Sheikh
Nurdeen Kishk, Mratibu Mkuu wa mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan
Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili
Mei 19, 2019.
Sehemu ya Wafadhili wakuu wa Mshindano
maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini
Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019.
Rais wa Taasisi ya Al Hikma Foundation Sheikh
Shariff Abdulqadir akihutubuia kwenye mashindano maalumu ya 20 ya
Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo
Jumapili Mei 19, 2019.
Wafadhili wakuu wa wakitambulishwa baada ya
kufanikisha mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika
Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe
Magufuli akihutubia maelfu ya waumini wa
Kiislamu na wadau wengine wakati akihitimisha mashindano maalumuya 2o ya
Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili

Kiislamu na wadau wengine wakati akihitimisha mashindano maalumuya 20 ya
Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili
Mei 19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akifuatilia mashindano maalumu ya 20 ya

John Pombe Magufuli akielekea sehemu ya kutolea
zawadi baada ya mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu
yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei
19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akipungia maelfu ya waumini wa Kiislamu
na wadau wengine baada ya mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu
yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei
19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimzawadia Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiislamu ya Amana Dr. Muhsin Salim
Masoud ambapo Benki hiyo ndiyo ilikuwa wadhamini wakuu
wa mashindano maalumuya 2o ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika
Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimzawadia Mwakilizshi wa Kituo cha Televisheni
cha ZBC Bw. Mehbooud Al Haddad kwa kuwa mmoja wa
wadhamini mashindano maalumuya 2o ya Qur’aan Tukufu
yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei
19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimzawadia Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Ali
Hassan Mwinyi kwa kuwa mlezi wa mashindano hayo ya Qur’aan Tukufu
Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimzawadia Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa kwa kuwa mdau
mkubwa wa mashindano hayo ya Qur’aan Tukufu Uwanja wa Taifa jijini Dar
es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimzawadia Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar
Zubeiry bin Ally wakati wa mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan
Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili
Mei 19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe
Magufuli akimzawadia Bi. Sumayyah Juma Abdallah wa Tanzania baada ya kupata
alama 98.66 na kuibuka mshindi wa tano wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika
mashindano maalum ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini
Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe
Magufuli na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa baada ya kumzawadia Bi.
Sumayyah Juma Abdallah wa Tanzania alitepata alama 98.66 na
kuibuka mshindi wa tano wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika
mashindano maalum ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini
Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe
Magufuli akimzawadia Bw. Idrissa Ousmane wa Niger baada ya
kupata Alama 98.67 na kunyakua
ushindi wa nne wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalumuya 2o
ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo
Jumapili Mei 19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe
Magufuli akimzawadia Bw. Shamshuddin Hussein Ali wa Zanzibar baada ya kuzoa
Alama 98.83 na kuibuka mshindi wa tatu
wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalumuya 2o ya Qur’aan
Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe
Magufuli akimzawadia Bw. Faruq Kabiru Yakubu wa Nigeria baada ya
kuzoa Alama 98.91 na kuibuka mshindi wa Pili wa Washindi
wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalumuya 2o ya Qur’aan Tukufu
yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei
19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe
Magufuli akisaidiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiislamu ya Amana Dr.
Muhsin Salim Masoud (kulia) akimzawadia Bw. Mohamed El
Moujabba Diallo wa Senegal (wa pili kushoto) zawadi ya shilingi
milioni 20 baada ya kuzoa
Alama 99.88 na kuibuka mshindi wa Kwanza
wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalumuya 2o ya Qur’aan
Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akimpatia
pesa taslimu shilingi milioni moja Bi Sumayyah Juma Abdallah wa
Tanzania ikiwa ni zawadi kutoka kwa Rais Dkt. Magufuli baada ya kupata
alama 98.66 na kuibuka mshindi wa tano wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu
30 katika mashindano maalum ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika
Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine wakiwa katika dua
baada ya mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika
Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine pamoja na
washiriki pamoja na wajumbe wa kamati kuu ya maandalizi ya mashindano
maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini
Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine pamoja na kamati
kuu ya maandalizi ya mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu
yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei
19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiagana na Sheikh Nurdeen Kishk,
Mratibu Mkuu wa mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu
yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei
19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.
John Pombe
Magufuli akiaga maelfu ya waumini wa
Kiislamu na wadau wengine baada ya mashindano maalumu ya 20 ya
Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili
Mei 19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.
John Pombe Magufuli akiaga maelfu ya waumini wa Kiislamu na
wadau wengine baada ya mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu
yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei
19, 2019.
PICHA ZOTE NA IKULU.
No comments:
Post a Comment