RAIS DK MAGUFULI KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA, PRETORIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 25 May 2019

RAIS DK MAGUFULI KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA, PRETORIA

Umati mkubwa wa wananchi unalipuka kwa shangwe na chereko wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli alipowasili katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya KusiniMhe. Cyril Ramaphosa Mei 25, 2019. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akipokewa katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuaishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa Mei 25, 2019. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli akifurahi na Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa Muda mfupi mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Nchi hiyo katika uwanja wa Michezo wa Loftus Versfeld Jijini Pretoria Afrika kusini, Mei 25, 2019.

No comments:

Post a Comment